WASAFI HAKUNA HELA NJAA KALI-LUKAMBA
Lakinia pia amedai kuwa wasafi hawana hela kama wanazo mbona hawalipi wafanyakazi wao vizuri watu wanajitoa kwa hali na mali kutengeneza kazi nzuri ambazo mpaka leo wanajivunia nazo lakini hawalipwi vizuri.
Madensa wamefanya kazi na diamond miaka mingi lakini hawana kiti ila walivyotoka kujipambania wamefanikiwa tayari.
"Imagine madensa wamehaso miaka kumi bila chochote maskin mpaka wamekimbia zao marekani mwaka mmoja washajenga
wangekufa njaaa maskin papylion si juzi tu hao ujawaona ni lukamba tu staki shobo Jamani"
Lakini pia lukamba akaendela kwa kusema kuwa wasafu pale hakuna hela ni njaa kali na ndo maana akaamua kuondoka ni jehanamu pale angekufa.
Je hayo maneno ni ya kweli?
Comments
Post a Comment