WABABE WA SIMBA WAMEWASILI DAR ES SALAAM KUMALIZA SHUGHULI YAO

 


Kikosi cha Al Masry 🇪🇬 kimewasili jijini Dar Es Salaam 🇹🇿 tayari kwa mechi yao ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya wenyeji Simba Sc itakayopigwa Aprili 9 katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

Ikumbukwe mechi ya mkondo wa kwanza simba alipata kichapo cha mabao mawili kwa bila ugenini hivyo simba anatakiwa kushinda nyumbani kwake mabao kuanzia mawili ili kujihakikishia tiketi ya kufuzu nusu fainali kombe la shirikisho barani afrika.





Comments

Popular posts from this blog

MAJUKUMU YANAWEZA KUMFANYA MUME AKAKOSA MAPENZI NA MKE WAKE

Ni LAZIMA UFANYE KAZI HARAMU ILI UPATE MAFANIKIO