KAMA HUNA BILIONI 13 HUNIOI RuBI ROSE

 


Rapa na mwanamitindo wa Marekani, Rubi Rose amesema hitaji fulani la kifedha lazima litimizwe na mwanaume kabla hajafikiria kuchumbiana au kumuoa.

Kulingana na nyota huyo wa muziki, hawezi kuchumbiana na mwanamume ambaye anapata chini ya dola milioni 5 kila mwaka.

Alieleza kuwa wanaume wasingemchumbia kama angekuwa mbaya, hivyo hawezi kuchumbiana na mvulana ambae hana hela.

Rubi Rose alisema haya katika mahojiano ya moja kwa moja yaliyofanyika hivi majuzi na mtiririshaji maarufu Adin Ross.

Alisema, "Mwanaume anayenitaka  anapaswa kuwa tajiri, awe na pesa nyingi kama nilizo nazo.anapaswa kutengenez angalau dola milioni 5 kwa mwaka.

"Wanaume hawatachumbiana na wasichana wabaya, kwa hivyo sitaki kuchumbiana na mvulana mchafu. Mtu wangu anapaswa kupata angalau dola milioni 5 kila mwaka. Na sitaki mwanamume ambaye anajihusisha na biashara haramu."

Comments

Popular posts from this blog

MAJUKUMU YANAWEZA KUMFANYA MUME AKAKOSA MAPENZI NA MKE WAKE

Ni LAZIMA UFANYE KAZI HARAMU ILI UPATE MAFANIKIO