"MUME ANAWEZA KUCHEPUKA, LAKINI MKE HAPASWI"–Lege Miami!

 

Kauli ya msanii na "mtaalam wa mahusiano" Lege Miami imezua mjadala mkubwa baada ya kudai kuwa wanaume wana haki ya kuchepuka katika ndoa, lakini wanawake hawapaswi hata kufikiria kufanya hivyo.

Kupitia video iliyosambaa mtandaoni, Lege alisema:

"Mke aliyeweka password kwenye simu yake ni kahaba. Ukiona mume wako ana password, hiyo si sababu ya nawe kuweka. Kama huwezi vumilia mume anayechepuka, hujafikia kiwango cha kuwa mke wa ndoa."

Kauli hiyo imezua hisia mseto mtandaoni huku wengi wakimshutumu kwa kueneza fikra za kizamani na za mfumo dume.

Je, unakubaliana na Lege Miami kwamba mume anaweza kuchepuka lakini mke hapaswi?

Tupia maoni yako hapa chini…

Comments

Popular posts from this blog

MAJUKUMU YANAWEZA KUMFANYA MUME AKAKOSA MAPENZI NA MKE WAKE

Ni LAZIMA UFANYE KAZI HARAMU ILI UPATE MAFANIKIO