HATIMAYE MAMA YAKE MEJA KUNTA APYMZISHWA KATIKA NYUMVA YAKE YA MILELE

 


Mwili wa mama mzazi wa msanii wa singeli meja kunta umezikwa katika makaburi ya tandika dar es salaam siku ya leo baada ya kifo kutokea jana ambapo mama ake meja kunta alianguka ghafla.

Watu wengi kutoka taasisi mbalimbali walijitokeza lakini wasanii pia walijitokeza kummunga na kumpa pole msanii mwenzao Mrja kunja kwa kipindi hiki kigumu anachopitia.

Comments

Popular posts from this blog

MAJUKUMU YANAWEZA KUMFANYA MUME AKAKOSA MAPENZI NA MKE WAKE

Ni LAZIMA UFANYE KAZI HARAMU ILI UPATE MAFANIKIO