HARUSI ZA KISASA, NDOA ZA AIBU – MWAKINYO AVUNJA UKIMYA!
Katika ujumbe wake aliouachia kwenye insta stori yake Mwakinyo alisema:
"Kabla ya kufanya harusi za vishindo na hasara chungu nzima, hakikisheni na nyie waoaji ni waume kweli mkiwa ndani. Tumechoka na hizo skendo zenu za kukosa magongo!"
Ujumbe huu umeibua mjadala mkubwa mitandaoni, wengi wakikubaliana naye kuwa harusi nzuri haiwezi kufunika ndoa isiyo na misingi imara. Mwakinyo anaonekana kuwakumbusha vijana kuwa kuoa si fashion show ni maisha halisi yanayohitaji uhalisia na uimara wa tabia.
Je, wewe unasemaje kuhusu kauli hii ya Mwakinyo? Unakubaliana naye?
Tupia maoni yako hapa chini! 👇
Comments
Post a Comment