HARMONIZE AWAALIKA MADEMU TU KUFUNGUA STUDIO NA GYM YAKE MPYA

 


Msanii maarufu wa Bongo Flava, Harmonize, ameendelea kupanua wigo wa biashara zake kwa kuzindua rasmi Konde Fitness & Studios, kituo kipya cha mazoezi na studio ya muziki iliyopo Bungeni, Dodoma.Kupitia Insta Story yake, Harmonize alishiriki video akisema, 

"ITS SO EXPENSIVE TO SEE ME AROUND !!! LETS MAKE MEMORIES WEN WE MEET COZ I HAVE ALMOST EVERYTHING, I'M ONLY MISSING A HOSPITAL :MAYBE 😅😂"

Harmonize katika video aliyopost insta story ametoa mialiko kwa watu kuja kuzindua studio yake pamoja gym, lakini mialiko hiyo katoa kwa wanawake tu peke yake sijui ni kweli anamaanisha au utani tu.

Hii ni hatua nyingine muhimu katika safari ya Harmonize ya kujenga chapa ya Konde Gang kama zaidi ya lebo ya muziki, bali pia kama jukwaa la kukuza afya, vipaji, na biashara.

Hongera kubwa ziende kwa wasanii  sasahivi wanajitahidi kuwekeza katika sehemu mbalimbali ili kujipatia kipato sasahivi na badae maana kuna maisha baada ya muziki.

Comments

Popular posts from this blog

MAJUKUMU YANAWEZA KUMFANYA MUME AKAKOSA MAPENZI NA MKE WAKE

Ni LAZIMA UFANYE KAZI HARAMU ILI UPATE MAFANIKIO