CHELSEA WAWINDA VIJANA HATARI KUTOKA LA LIGA NA PREMIER LEAGUE!

 


Klabu ya Chelsea imeweka jicho kwa beki chipukizi Dean Huijsen (19), anayekipiga Bournemouth kwa sasa. Hata hivyo, The Blues wanakabiliwa na ushindani mkali kutoka kwa vilabu vingine vya Ligi Kuu ya England vinavyotaka huduma yake.

Wakati huohuo, Chelsea pia wanahusishwa na winga wa kasi kutoka Real Betis, Jesus Rodriguez (19), ambaye ana kipengele cha kuachwa kwa dau la hadi £42 milioni. Je, vijana hawa wataingia rasmi Stamford Bridge msimu ujao?

Endelea kufuatilia Dengah Media TZ kwa taarifa motomoto za usajili!

Comments

Popular posts from this blog

MAJUKUMU YANAWEZA KUMFANYA MUME AKAKOSA MAPENZI NA MKE WAKE

Ni LAZIMA UFANYE KAZI HARAMU ILI UPATE MAFANIKIO